lulu kazidiwa mahakamani...
wakati kesi ya lulu ikiendelea leo mahakamani, inaelezwa kuwa binti huyo
alizidiwa na kuumwa ugonjwa ambao mpaka sasa hujajulikana na kuzua
tafrani kubwa kwa waliokuwako mahakamani baada ya ombi la wakili wake
la kuishughulikia kesi yake katika mahakama ya watoto lilipokataliwa
|
Lulu (katikati) akiingia mahakamani na askari magereza wa kike. | | | | |
LICHO YA HIVYO MAHAKAMA ILITUPILIA MBALI OMBI LA LULU