Friday, May 15, 2015

PICHA ZA GARI ALILOZAWADIWA MENEJA WA JOSE CHAMELEONE NA CHAMELEONE MWENYEWEj2Ni pale ambapo unafanya kazi nzuri alafu Boss anafurahia na kuamua kukuzawadia chochote……. na ndivyo ilivyotokea kwa Jose Chameleone legend wa muziki Afrika Mashariki kutoke Uganda kumzawadia meneja wake gari aina ya Volks Wagen baada ya show waliyoiandaa kufanikiwa.
j1
j3
j4
j5
j6
j7
j8Love to hear what you think!