Thursday, December 5, 2013

Breaking: Mzee Nelson Mandela amefariki


PBF_1454 
Taarifa ya kifo cha Mzee Nelson Mandela imetangazwa na rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma saa saba kasoro usiku wa kuamkia Dec 6 2013 ambapo amefariki akiwa na miaka 95.
Taarifa ya CNN imesema Madaktari wa Mzee huyu ambao walikua wakipokezana kukaa nae kwa saa 24, wamesema Mzee Mandela kwenye kipindi hiki cha mwisho dawa zilimzoea mpaka zikashindwa kufanya kazi, yani mwili wake ulikua tayari umezoea dawa na hata ziwe kali vipi… hazikuweza kufanya kazi kikamilifu.Love to hear what you think!