Tuesday, October 29, 2013

UCHAFU UNAOFANYWA KWENYE PARTY ZA BIKINI CAR WASH

 
Asikwambie mtu hivi ndio party za kuosha magari huku wanawake wakiwa na bikini zinavyofanyika huko Uganda...kwa kizungu wanaziita Bikin Car Wash ...Hapa mambo yanayofanyika huwa ni aibu watoto kaaa mbali sanaaaa....kama unavyojionea kwenye picha ...Mdakuz unaonaje hapo? Bongo Je zipo hizo ?ama ndio zile Baikoko?


Love to hear what you think!