Monday, September 30, 2013

MGOMO WA WAFANYABIASHARA MANZESE JIJINI DAR

Baadhi ya mabango yaliyowekwa na wafanyabiashara wa Manzese jijini Dar es Salaam.
Wafanyabiashara wa Manzese jijini Dar es Salaam leo wameandamana na kuweka mgomo wakuzuia kuvunjwa kwa maduka ili kupisha ujenzi wa barabara kuendelea. Akiongea na waandishi wetu, mmoja wa wafanyabiashara hao alisema: "hatuwezi kupisha serikali ijenge barabara pembeni ya maduka yetu na zaidi watu wanakuja kututoa hapa kimabavu, huyo Mwakyembe yuko wapi tunasema tutapigania hapa mpaka kieleweke."
(Picha:…

(Picha: Irene Profil na Denis Mtima / GPL)Love to hear what you think!