Sunday, September 22, 2013

IZZO BIZNESS APATA AJALI MBAYA AKIWA ANAELEKEA AIRPORT,MSANII FILBERT KABAGO AUMIA MAENEO YA JICHO


 Haya ni Maneno ya Izzo
Tumepata Ajali Mbaya Eneo la MSITUNI wakati tunatokea GEITA kwenye Show kuelekea Airport MWANZA...Tunamshukuru Mungu Tupo salama...Pole kwa brother Philbert KABAGO kwa kuumia maeneo ya Pembeni ya Jicho lake...Get well soon bro...Mungu ni MwemaLove to hear what you think!