Tuesday, May 7, 2013

VAZI LAMUUMBUA MKENYA....MATITI YOTE HADHARANI


Mrembo  wa  kikenya  amejikuta  akiambulia  aibu  ya  mwaka  baada  ya  kivazi  chake  kumuumbua  na  kuyaanika  matiti  hadharani......

Aibu  hiyo  ilimkuta  ukumbini  baada  ya  kunyoosha  mkono  wake  ili  naye  ashangilie  kama  walivyokuwa  wanafanya  wenzake  ambao  walikuwa  wamevaa  kiheshima...


Baada  ya  kuutupa  mkono  hewani, gauni  lake  ambalo  ni  "kata  kifua"  lilishuka  na  kuianika  chuchu  hadharani...


Hili  ni  fundisho  tosha  kwa  baadhi  ya  dada  zetu  wanaoukimbilia  UZUNGU  pasipo  kujipangaLove to hear what you think!