Saturday, May 18, 2013

MTOTO ALIYEPIGWA MAPANGA NA BABA YAKE AFARIKI DUNIA


Mtoto Devotha Gerald (4) aliyepigwa mapanga na baba yake, polisi mstaafu Samson Bwire Amefariki dunia baada ya jitihada za madaktari kuokoa maisha yake kushindikana...
 
Mtuhumiwa wa tendo hilo ambaye naye alipigwa vibaya na wananchi wenye hasira yuko mikononi mwa jeshi la polisi....
 
Tendo hili lilitokea mkoani Shinyanga. 
Kama haukuona habari hiyo ya kusikitisha, ya kushambuliwa mtoto huyo, iliyotokea juzi usiku, nenda kwenye link ifuatayo: Polisi mstaafu amcharanga mapanga mwanae wa miaka 4Love to hear what you think!