Monday, May 6, 2013

Baada Ya Bw. RUGE MUTAHABA Kuzungumza Asubuhi Hii ... LADY JAYDEE Ajibu Namna Hii .

 


Baada ya Bw. Ruge Mutahaba kuzungumza asubuhi ya leo kuhusu kinachoendelea na mwanamuziki Lady JayDee kwenye mitandao tofauti ya kijamii ...
Sasa, kupitia ukurasa wake wa Facebook msanii Jide amefunguka kwa mara nyingine kwa kuandika haya ... 
"Kama mtakumbuka niliahidi kutoa awamu ya pili tar 15 au 17 May na ahadi ni deni..Japo naona mbali ila Nitafanya hivyo, bado nina mengi sana ya kuzungumza kuhusu Ruge na wenzake... Ile ilikuwa ni trailer tu, Movie ndio linaanza sasa #TeamAnaconda no surrender".Love to hear what you think!