Sunday, April 21, 2013

LADY JAYDEE AWACHANA TENA CLOUDS.....ANADAI KWAMBA MUNGU SI "RUGE" WALA "KUSAGA"


Baada ya kipindi kirefu cha kuongea kwa mafumbo dhidi ya wamiliki wa Clouds FM kuwanyonya wanamuziki akianzia na wimbo wake wa Joto Hasira, mwanamuziki Judith Wambura ameendelea kuishambulia redio hiyo na leo Jumapili ameamua kufunguka kwa kuwachana  live  wamiliki wa redio hiyo.
Hii  ni  post  yake  aliyoipost   twitter:

Lady JayDee ‏@JideJaydee 1h
 
Naamini kabisa kuwa Mungu sio Ruge wala Kusaga. Atanisimamia kwenye hili #Confidence


Love to hear what you think!