Friday, August 31, 2012

DR SLAA AJIBU MAPIGO

          Dr.Slaa akiongea na wandishi wa habari leo mjini Iringa.

Mh Samweli Sitta kwa maneno yake aliyotamka hivi karibuni kama ilivyo ripotiwa na vyombo vya Habari nchini. Dr alieleza hayoleo mbele ya waandishi wa habari mjini Iringa katika ukumbi wa M.R HOTEL Majira ya asubuhi alianza kwakukanusha uongo aliousema Mh Sitta kuwa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo hamna viongozi tishio ila ni Dr Slaa.Amemshangaa nakusema, ajuavyo yeye Hawezi kuwasemea akikanusha hayo pamoja na kumuita Mh mwenyekiti wa Chadema ni mchezesha disco katika nchi hii niuwongo ulio wazi. Tunavyojua MH Mbowe nimmiliki wa klabu ya burudani ambamo wapenzi wa mziki katika nchihii wanajua hivyo natena kunabaadhi ya Mawaziri ni wateja katika ukumbihuo.

Akimuelezea Mh Samweli Sita ni Muhaini wa kwanza katika nchi hii akiwa Spika wa Bunge la Jamuhuri la muungano wa Tanzania alizuia muswada uliopelekwa Bungeni na Mh Zito kabwe unaohusu Ufisadi katika makampuni yauma. Yakiwemo Meremeta nk.kinyume chake wakamfukuza Mh zito Bungeni kwa miezi sita na wakamrudisha kimyakimya.

Pia Mh sita nimwanzilishi wa chama cha CCJ katika nchi hii wakiwa na Mh Mwakyembe  kwa  lengo lakuhama CCM waliandika katiba kama ya CHADEMA wakiwa nadhamira ya kujaribu upinzani huku wakisema wakishindwa watajiunga na CHADEMA. Wakatihuo Sitta akifanya mawasiliano ya faragha maranyingi na Dr.Slaa  huku akijigamba kuwa ana  wa bunge wengi zaidi ya Hamsini atahama nao iwapo atakuja Chadema.

 kipindi cha uchaguzi wa Spika wa Bunge la Jamuhuri la Muungano CCM walipo badili utaratibu na kumtaka mgombea Mwanamke yeye alichukizwa nahilo. Nandio ulikuwa mwanzo wakutapatapa akijua muda wake wakudhani yeye ni Spika wakudumu. Kwani mfano tunao akiwa spika alijenga nyumba ya Spika Jimboni kwake kwa pesa ya Serikali yenye gharama kubwa zaidi ya mara kumi yakiwango kilicho pangwa cha kujengewa ofisi za wa Bunge katika kila jimbo. Nasiyo kama alivyofanya yeye. Dr Saa alisema tunayajua mengi yafanywayo na viongozi serikalini wanao toka CCM kwaleo nasema machache mengine ni akiba. kwakua natumia silaha sawa na wanyotumia maadui zetu.

Pamoja na hayo Chadema wamewashukuru Jeshi la Polisi na CCM Kwakuwa wamekuwa kama  makada wao kwani wamewafanya wawafikie wananchi wegi katika mkoa wa Iringa baada ya kusitisha Maandamano na Mkutano mpaka Sensa ipite wao wakaamua kwenda mtaa kwa mtaa kijiji kwa kijiji. kata kwa kata hivyo toka waanze wamefika vijiji Mia na  hamsini katika Wilaya ya Mufindi,(W)Iringa,Wilaya ya Kilolo pamoja na Iringa Manispaa ambapo watafanya Mkutano tar 9.9.2012 viwanja vya Mwembetogwa.

Picha na habari- Said Ng'amilo wa Mjengwablog, Iringa

Bi. Kidude bado yupo hai


Asubuhi ya leo kumezagaa taarifa kuwa mwanamuziki mkongwe wa Taarab wa  Zanzibar, Bi. Kidude amefariki dunia. Radio ya Zenji FM ya visiwani humo nayo ilitangaza kifo chake. Lakini kutokana na vyanzo mbalimbali vya uhakika akiwemo mjukuu wake, Bi. Kidude bado yupo hai.


Mo Blog: Habari zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii kuwa mkongwe wa muziki wa jadi visiwani Zanzibar Bi. Kidude amefariki dunia si za kweli MO BLOG imezungumza na watu wa karibu ambao wamesema kwamba Bi. Kidude bado anavuta pumzi na amelazwa katika hospitali ya Hindu Mandal iliyopo visiwani humo.

MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 1


.
.
.
.
.
.
.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

MWANAFUNZI AFARIKI BAADA YA KUGONGWA NA BODABODA





































mwili wa mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya Kashaulili wa kidato cha tatu Zachalia Anton (15) mkazi wa mtaa wa Nsemulwa Mjini Mpanda akiwa amefariki Dunia hapo leo baada ya kugongwa na mwendesha pikipiki (Bodaboda) katika eneo la mtaa wa madukani Mjini Mpanda hapo leo Ambapo mwendesha bodaboda huyo alikimbia na kuitelekeza pikipiki na anatafutwa na jeshi la polisi Picha na Walter Mguluchuma.
KATAVIYETU.BLOG

CHAMELEONE NA MREMBO WA MATAKO NJEE




Thursday, August 30, 2012

TAZAMA PICHA 8 ZA JUMBA LA KIFAHARI LA MAMA RWAKATALE





Jumba hilo linavyoonekana kwa mbele na baadhi ya waumini waliokuja kushuhudia uzinduzi huo.



Mambo ya kabatini na vyombo sasa.




Haris Kapiga ndo alikua Mc apo akiwa na Mother house mwenywe Mch.Rwakatale.



Mc Haris Kapiga alijisahau mpaka kazi yake kwa raha za umo ndani akiwa na mmoja ya wageni waalikwa.






Wakati wa Maakuli sasa.



Dressing Table






Ofisi binafsi.na sehemu ya mikutano






Baada ya shughuli za siku nzima Mama huyu anakuja kuubwaga mwili apa.

Mchungaji Getrude Rwakatare amehamia rasmi katika nyumba yake mpya iliyoko Mbezi Beach jijini Dar es Salaam pembezoni mwa bahari ya Hindi.Nyumba hiyo ambayo ni kubwa sana inasehemu ya saloon,sehemu ya kufanyia mazoezi na recreation mbalimabli.Inaripotiwa kuwa waumini wa kanisa lake wapatao 300 walifika mahali hapo kwa kushuhudia nyumba yake hiyo ya kifahari.