Thursday, August 30, 2012

TAZAMA PICHA 8 ZA JUMBA LA KIFAHARI LA MAMA RWAKATALE

Jumba hilo linavyoonekana kwa mbele na baadhi ya waumini waliokuja kushuhudia uzinduzi huo.Mambo ya kabatini na vyombo sasa.
Haris Kapiga ndo alikua Mc apo akiwa na Mother house mwenywe Mch.Rwakatale.Mc Haris Kapiga alijisahau mpaka kazi yake kwa raha za umo ndani akiwa na mmoja ya wageni waalikwa.


Wakati wa Maakuli sasa.Dressing Table


Ofisi binafsi.na sehemu ya mikutano


Baada ya shughuli za siku nzima Mama huyu anakuja kuubwaga mwili apa.

Mchungaji Getrude Rwakatare amehamia rasmi katika nyumba yake mpya iliyoko Mbezi Beach jijini Dar es Salaam pembezoni mwa bahari ya Hindi.Nyumba hiyo ambayo ni kubwa sana inasehemu ya saloon,sehemu ya kufanyia mazoezi na recreation mbalimabli.Inaripotiwa kuwa waumini wa kanisa lake wapatao 300 walifika mahali hapo kwa kushuhudia nyumba yake hiyo ya kifahari.


Love to hear what you think!