TANZANIA leo imesherehekea miaka 51 ya
uhuru ambapo viongozi mbalimbali kutoka nchi rafiki wamehudhuria sherehe
hizo zilizofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Katika sherehe hizo, Rais Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa mgeni rasmi ambapo aliwashukuru viongozi wote waliohudhuria katika sherehe hizo.
Viongozi zaidi ya kumi kutoka nchi jirani waliweza kuhudhuria na kupata burudani ya ngoma za ndani na nje ya nchi.