Thursday, July 26, 2012

PICHA ZA MECHI ZA YANGA NA AZAM


.
APR na YANGA.
Said Bahanuzi akiwa amembeba Hamis Kiiza baada ya kufunga goli pekee la Yanga dhidi ya APR ya Rwanda.
.Wakati-wa-mapumziko-mechi-ya-Yanga-na-Vita-Kocha-wa-Yanga-Tom-Saintfiet-alimuita-kocha-wa-Azam-Stewart-Hall-kumuelekeza-mambo-na-kipindi-cha-pili-Azam-ikatoka-nyuma-kwa-1-0-na-kushinda-2-1
.
AZAM FC VS AS VITA YA CONGO DRC.
Azam akiwa anashangilia goli kwa mashabiki wa Yanga baada ya kufunga goli la pili huku la kwanza likiwa limefungwa na John Bocco na hivyo kuchukua ushindi wa 2-1 dhidi ya AS VITA ya Congo DRC.
.
John Boko na wenzake wakishangilia goli. (Picha zote zimepigwa na bongostaz.blogspot.com


Love to hear what you think!