Sunday, October 21, 2012

VITUKO VYA FIDELINE IRANGA ANAYEJIITA "LADY GAGA WA BONGO"

Huyu ni Mwanamitindo wa muda mrefu, Fideline Iranga a.k.a Lady Gaga wa Bongo.Naamini sote tunamjua......

Mambo anayoyafanya siku hizi ni aibu tupu.Hivi karibuni, picha zake za utupu zilisambaa mtandaoni kwa kasi......

Katika utetezi wake alidai kuwa zilisambazwa na mtuambaye alikuwa ni mpenzi wake.........

Sidhani kama utetezi huo ulikuwa na ukweli ndani yake.Mi nadhani ni kwa sababu umaarufu wake na ndoto finyu ya kutamani kuwa kama Lady Gaga.





Love to hear what you think!