Story zilizopo ni juu ya msanii wa Bongo Fleva, Diamond kuendelea kuwachanganya wasichana wa kibongo … na hii ni mpya kabisa … baada ya Penny kuzidiwa pale alipoona picha muda mfupi uliopita kwenye mitandao ya kijamii, kuona Diamond na Wema wako wote kwa mara nyingine tena hapo ndipo ikampelekea DVJ Penny kupoteza fahamu na kukimbizwa hospitali.
kuna picha zimetoka kwenye internet pamoja habari kwamba eti Wema na Diamond walikutana huko Malaysia. Hakuna kati ya mmoja wao alisema chochote kwa kukubali au kukanusha kuhusu hizi picha, lakini hembu tutumie macho kwa kufananisha hizi picha na upate jibu lako
Angalia picha ya juu hair style ya
Diamond na mawani aliyovaa. Picha ya juu alipiga Diamond akiwa dukani
huko Malaysia na picha ya chini ni moja ya picha zilizovuja
Angalia tena picha ya juu hair style ya
Wema pamoja na hand bag yake, then angalia picha ya chini hair style ya
Wema pamoja na begi lake. Picha ya juu ni moja kati ya zilizovuja na ya
chini alipost Wema akiwa bara la Asia lakini ilisemaka yupo Hongkong
Angalia simu aliyotumia Wema kupiga hizi picha hapo chini na juu, picha ya chini nayo imevuja
Angalia picha ya chini na ya juu, chini enzi za zamani.Kipindi hicho walikuwa na hair style hizo lakini hizo za juu zinaonekana kuwa ni muonekano wa sasa
Angalia picha ya chini na ya juu, chini enzi za zamani.Kipindi hicho walikuwa na hair style hizo lakini hizo za juu zinaonekana kuwa ni muonekano wa sasa
Hakuna habari za kuthibitisha kama kweli
wawili hawa walikuwa wote huko kama inavyoripotiwa na vyombo vingi,
lakini wakati Diamond yupo kwenye show Malaysia na Wema alikuwa ana post
picha kwenye Instagram yupo HongKong