BABY MADAHA APEWA GARI KALI YA KUTEMBELEA BAADA YA KUSIGN MKATABA CANDY RECORDS
Picha za mwanamuziki na muigizaji wa Filamu nchini Baby Madaha akiwa
nchini Kenya na gari yake aina ya audi aliyopewa na Record Label ya
Candy n’ Candy huko Kenya baada ya kusaini mkataba na kampuni hiyo.