.
Hawa binadamu wasiokuwa na aibu walikutwa barabarani
wakifanya mapenzi huku wakiwa wameegesha gari lao pembeni
Tukio
hili
chafu lilitokea week end iliyopita wakati binti huyu akitoka club
huku akiwa tungi.Alipotoka nje ya ukumbi huo wa starehe,
alionekana kumvaa dreva tax mmoja ili ampeke nyumbani.....
Mdau
aliyeinasa picha hii anadai kuwa walipoondoka naye aliwasha
gari yake tayari kwa safari ya kurudi kwake.Wakiwa njiani,
alishtuka kuona gari hiyo ikipakiwa pembeni mwa barabara....
Jamaa
anadi kuwa alilipita gari hilo na alipofika mbele alikaa
kidogo na kuamua kurudi tena na ndipo alipowafuma live
wakifanya uchafu huo na kuwapiga picha....
Walipokurupushwa na mwanga wa kamera ya jamaa huyo, mbulula hao waliliondoa gari lao kwa kasi na kutokomea