MTANZANIA JOYCELYNE AIBUKA KIDEDEA MISS EAST AFRICA
Joyceline akiwapungia mkono mashabiki baada ya kutangazwa mshindi.
Joycelne (wa pili kushoto) akipongezwa na mshiriki mwanzake.
Washiriki wakipita jukwaani katika vazi la ufukweni.…
Joyceline akiwapungia mkono mashabiki baada ya kutangazwa mshindi.
Joycelne (wa pili kushoto) akipongezwa na mshiriki mwanzake. Washiriki wakipita jukwaani katika vazi la ufukweni.
Warembo wakiwa mbele ya kamera.
Mambo yote ni kujinadi.
Kivazi cha ufukweni kikitamba.
Majaji wa shindano hilo wakifuatilia mpambano.
Kundi la The Voice likitumbuiza.
Mrembo ‘akiuza’ sura.
Mrembo akionyesha alivyojaliwa na Subhana.
Walioingia Tano Bora.
Jocelyne akijielezea kabla ya kutangazwa mshindi.
Mad Ice akiserebuka na shabiki wake. Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja na mshindi (katikati).
Gari aliloshinda Jocelyne.
MSHIRIKI wa Tanzania katika Shindano la Miss East Africa 2012,
Jocelyne Diana Maro, jana ameibuka kidedea katika fainali zilizofanyika
katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.
Ushindi huo umemfanya
Jocelyne azawadiwe Dola 30,000 ambazo ni pamoja na gari aina ya Mazda
lenye thamani ya Dola 15,000 na mkataba wa kufanya kazi na Miss East
Africa Organization wenye thamani ya Dola 15,000.