Haya
yanajitokeza mara baada ya katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa,
itikadi na Uenezi Nape Mnauye, mnamo disemba 2 mwaka huu (2012)
alipokuwa akifungua Mkutano mkuu wa Halmashauri kuu ya CCM wilaya ya
Nyamagana kurusha kombora kuwa vigogo wengi ndani ya CHADEMA kuwa
wana kadi za CCM na wengine wanaendelea kuzilipia jambo linalothibitisha
unafiki walionao viongozi wengi wa upinzani nchini.
“Kama
nasema uongo, Babu Dk. Slaa ajitokeze aseme kadi yake ya CCM
aliirudisha lini na kumkabidhi nani. Lakini ninayo orodha ya vigogo wa
CHADEMA ambao huja kulipia kadi zao za CCM kila mara. Huu ni unafiki
mkubwa” alisisitiza Nape.
Sasa katika kujibu mapigo kwa alichosema Nape huu ndiyo ujumbe wa Dr. Slaa:-
Sasa katika kujibu mapigo kwa alichosema Nape huu ndiyo ujumbe wa Dr. Slaa:-