DIAMOND PLATNUMZ: NATAKA KULEWA OFFICIAL VIDEO.mov
Finally, hii ndio video kamili ya wimbo wa Diamond Platnumz 'Nataka Kulewa', ambayo imetayarishwa na kusimamiwa na kampuni ya I-View Studios chini ya Raqey Mohamed. Itazame kisha toa comments zako kwa jinsi utakavyoipokea