Tuesday, November 20, 2012

"USIRUDIE TENA KUNIBEBEA MUME WANGU"....HUU NI UJUMBE WA AUNT LULU ALIPOKUWA AKIVUNJA AMRI YA SITA



Mwanadada Mwenye Skendo Nyingi Magazetini Aunty Lulu Ameweka Picha Akiwa na Mvulana anae dai ni Mpenzi wake na Kuandika Status ya Kupiga Mkwara inayosema "USIRUDIE TENA KUNIBEBEA MUME WANGU"  

Limekuwa  ni  jambo la kawaida  kwa aunt lulu  kubadilisha  wanaume  kama  nguo........

Hivi karibuni alikumbwa  na  kashfa  ya mwaka  baada  ya kutimuliwa alikokuwa  amepanga  kisa  kikiwa  ni kufanya  mapenzi chooni  hali  iliyomfanya  akajihifadhi  GEST HOUSE  kwa muda 


Love to hear what you think!