Friday, July 27, 2012

KANUMBA VS MAFISANGO,..


Baada ya kudondoka tu mbinguni Mafisango uso kwa uso na Kanumba, maongezi yao yalikuwa hivi;

Kanumba;   Karibu jembe la wekundu wa msimbazi shwari?
Mafisango; Huko duniani si shwari, watu wanagombea mali zako kama mpira wa kona. 
Kanumba;   Mungu wangu na lile V8(gari) langu limepona kweli?
Mafisango; Yaani ungejua ungeliuza mwenyewe maana yake hilo ndo chanzo cha ngumi 
                    kati ya baba yako na washikaji zako.

Kanumba;   Tobaaaaa! Vipi kuhusu dadaangu LULU ametoka jela?
Mafisango;  Akacheka,,! Lulu alikuwa dada ako au demu wako? Yaani mpaka
                    huku waniongopea? duu kweli wewe ni msanii

Kanumba;   Ushaniuzi kama vipi nenda uwanjani kale tizi tuna mech jumatano na 
                     malaika wa adhabu.
SOURCE,..MAKAMBAKOKWETU.BLOGSPOT.COM



Love to hear what you think!