Maharusi Mr & Mrs Sunday Demonte wakiwa katika pose nyumbani kwa Salma Mgido mapema leo kwaajili ya chakula cha mchana
Aunty akiwa amepakata mtoto Seif wa da Katija Mashallah
Kitu cha ndafu na madiko diko kibao
Rahma Aunty
Ezekiel na Mumewe Sunday wakikata ndafu huku waigizaji wenzake Aunty
akiwemo, Ray, JB na Cloud walioenda harusini wakishuhudia tukio
Ray akishuhudia kwa ukaribu tukio hilo
Bi Salma Mgido (mwenye pink) akiweka mambo sawa
Mr & Mrs Demonte wakipata msosi
Wageni waalikwa akiwemo mwenyekiti wa Jumuyia ya watanzania Dubai (mwenye kanzu ya blue) katika shughuli hiyo
Cloud katika picha ya pamoja na Janja
Cloud na Janja wakibadilishana mawazo
Ray katika pose na shabiki wake
Le Familia Mashallah
JB katika pose
Katija, mumewe aka muarabu na mkewe na Ray katika pose
Mumewe Katija, wanae na Sunita pia walikuwepo
Bi Salma mama wa shughuli......