HALI YA MTOTO ANETH ALIYEKATWA MKONO BAADA YA KUCHOMWA MOTO YAZIDI KUIMARIKA
Mtoto Aneth Johannes akiwa katika hospitali ya mkoa jijini Mbeya anapoendelea kupatiwa matibabu.
Mama mzazi wa Aneth, Asera Mukandala anayeishi Muleba mkoani Kagera akiwa wodini ambapo anamuuguza mwanaye.…
Mtoto Aneth Johannes akiwa katika hospitali ya mkoa jijini Mbeya anapoendelea kupatiwa matibabu.
Mama mzazi wa Aneth, Asera Mukandala anayeishi Muleba mkoani Kagera akiwa wodini ambapo anamuuguza mwanaye.
Asera Mukandala akimuuguza mwanaye Aneth. Kushoto ni mdau aliyefika hospitalini hapo kutoa msaada wake kwa mtoto Aneth.