Tuesday, November 13, 2012

CHACHANDU ZA EBSS 2012

Msanii wa Bongo Movies, Eshar Buheti akimpa busu la mahaba mumewe ndani ya Diamond Jubilee wakati wa EBSS2012
.....kila mtu na wake bibi eh!…
Msanii wa Bongo Movies, Eshar Buheti akimpa busu la mahaba mumewe ndani ya Diamond Jubilee wakati wa EBSS2012
 
.....kila mtu na wake bibi eh!
...kiduku cha salama kilikuwa kivutio ukumbini...Lol!
Pozi la EBS utajijuu

Love to hear what you think!