Rihanna (kushoto) akibusiana na boifrendi wake wa zamani Chris Brown (kulia) wakati wa tamasha la tuzo za video bora za muziki la MTV Video Music Awards 12 kwenye Ukumbi wa Staples Center mjini Los Angeles, California usiku wa Septemba 6, 2012. |
Rihanna akitumbuiza stejini wakati wa tamasha la tuzo za video bora za muziki la MTV Video Music Awards 12 kwenye Ukumbi wa Staples Center mjini Los Angeles, California jana usiku Septemba 6, 2012. |
|