Tuesday, September 4, 2012

PICHA ZA MAZISHI YA MTANGAZAJI WA CHANNEL 10 DAUDI MWANGOSI

WAANDISHI WA HABARI WAKIWA WAMEBEBA JENEZA LENYE MWILI WA MAREHEMU DAUDI MWANGOSI KUELEKEA MAKABURINI

MAZISHI YA DAUDI MWANGOSI YAKIENDELEA


MKE WA MAREHEMU DAUDI MWANGOSI AKIWEKA SHADA LA MAUA KATIA KABURI LA MUME WAKE





 Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi ukiwa una andaliwa kwa ajili ya kutolewa Heshima za mwisho
 Muheshimiwa Mark Mwandosya akitoa Heshima za Mwisho
 Muheshimiwa Dr Slaa akitoa Heshima za mwisho
 Ndugu jamaa na Marafiki wakitoa Heshima za Mwisho
Mke wa Marehemu akitoa heshia zake za Mwisho
 Ma elfu ya watu wakipita kutoa Heshima zao za mwisho
 Huko Jikoni Mambo yanaendelea 
 Mama Mzazi wa Marehemu Daudi Mwangosi akiwa analia kwa Uchungu



Love to hear what you think!