Friday, September 7, 2012

PICHA ZA MASHINDANO YA MISS ILALA 2012 USIKU WA JANA

Mshindi wa tatu, mshindi wa kwanza na mshindi wa pili Miss Ilala 2012.
Miss Ilala 2011 Salha akikabidhi taji.
.
Top 5
.
.
Miss Ilala 2012 namba tatu akionyesha kipaji chake kingine, alicheza kama Ciara… ilikua safi sana.
.
.
.
Huyu mrembo kwenye kuonyesha uwezo wake mwingine, aliperform single ya Rick Ross.
.
.
.
.
.
.
.



Love to hear what you think!