Baada ya mmoja wa waanzilishi
wa mtandao wa kijamii wa facebook Chris Hughes kufunga ndoa ya jinsia
moja na mpenzi wake wa muda mrefu bwana Sean Eldridge jumamosi iliyopita
huko New York City, USA last Saturday, the social networking website
chose to symbolically introdMtandso huo umeamua kuongeza kitufe
kitakacho ashiria ndoa za jinsia moja kwenye relationship status za
mtandao huo.
Kwa kawaida ilikua mtu akioa
kwenye page yake ya facebook anaruhusiwa kubadilisha status ambapo
kitufe cha facebook huwa kinaonyesha mwanaume na mwanamke lakini kwa
sasa inaweza kuwa mwanaume kwa mwanaume au mwanaume kwa mwanamke.
Mabadiliko haya sio mapya
kwenye mtandao wa facebook katika harakati za kwenda na wakati kwani
2011 facebook iliongeza kitufe cha kuonyesha kwamba ndoa imefungwa
mahakamani hatua ambayo ilionekana kuunga mkono ndoa za kimahakama za
watu wa jinsia moja.
Pamoja na hilo facebook imekua
inatoa support kwa asasi zisizo za kiserekali ambazo zimekua zikiweka
kipaumbele kwenye kutetea haki za mashoga na wasagaji.
Chris Hughes na mkewe bwana Sean Eldridge. |