Saturday, February 9, 2013

Diamond Platnumz Katika Mapenzi Mazito Na VJ Penny... Penny Ana Mimba??!!


Ikiwa ni jana tu, Raisi Wa Wasafi, Diamond Platnumz alitupia picha katika moja ya mitandao ya jamii anayotumia, huu ukiwa ni Instagram ya mtangazaji wa kipindi cha Xtreme kituo cha TV cha DTV, Pennyl Mungirwa a.k.a Penny ikiwa na maandishi chini yake yanayoonesha wawili hawa sasa wako katika mahusiano ya kimapenzi.
Diamond anaetamba sana kwa sasa na wimbo wake wa Kesho uliofanyika MJ Records chini ya Marco Chali na video yake kufanywa Nairobi, Kenya ali-post picha hiyo ikiwa na maandishi au Hashtags "#MaBabyMama De'MumOfMyBlood #MamaYounDiamond #YounPlatnumz #YounPrezident" yaliyozidi kuweka wazi kuwa wawili hawa wako pamoja kimapenzi.
Check picha hapa chini:

Katika hali iliyozua maswali zaidi, moja ya Hastags hizo, zilionesha VJ Penny ana ujauzito wa Diamond Platnumz... Je ni kweli??  Maandishi hayo yalisomeka, "#MaBabyMama De'MumOfMyBlood"
Wawili hawa wamekuwa wakishukiwa kuwa kwenye mapenzi kutokana na picha tofauti ziliwaweka katika mapozi yaliyoonesha hivyo lakini muda mwingi hawakutaka kuyaongelea haya na mara mara walionekana kukanusha kabisa habari hizo.

"VITAMBULISHO VYA TAIFA KUTUMIKA KATIKA UCHAGUZI UJAO"....KIKWETE

RAIS wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete amehaidi kuwasaidia Mamlaka ya   Vitambulisho (NIDA)  kwa kuiwezesha  kupata fedha  kwa ajili  Vitambulisho vya Taifa  ili  kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 watu wote watakuwa na vitambulisho vya Taifa vitakavyo tumika katika uchaguzi huo.

Aidha  Rais  Kikwete  aliitaka NIDA  kutoa vitambulisho kwa watu wanaotakiwa na kuchukulia hatua za kisheria wale  watakaokiuka sheria ya usajili wa vitambulisho hivyo.
Kauli hiyo ilitolewa  leo na Rais Kikwete wakati uzinduzi wa mfumo wa usajili na utambuzi wa watu kitaifa na utoaji wa vitambulisho hivyo  uliofanyika  katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Rais Kikwete aliwataka wananchi kuwa wazalendo kwa  kutoa taarifa zao kwa uaminifu na kutoa ushirikiano ili kurahisisha  zoezi hilo.
Aliwataka viongozi wa dini, serikali na waandishi wa habari kuwa mstari wa mbele katika kuwahamasisha wananchi kutoa ushirikiano huo.
Naye Waziri  wa Mambo ya Ndani ya Nchi  Dk. Emmanuel  Nchimbi alisema ni  muhimu kuwa na vitambulisho vya Taifa kwani ni jambo la msingi ambalo litaweza kuwa na manufaa makubwa kwa kuunganisha mifumo mikubwa ya usajili ya kitaifa.
Baadhi ya mifumo hiyo ni kama Mfumo wa usajili wa kodi(TRA), Mfumo wa vizazi na vifo(RITA),Mfumo wa pasi za kusafiria(UHAMIAJI),Mfumo wa POLISI, Mifumo ya mawasiliano yasimu(Vodacom,Tigo,Zantel,Airtel,TTCL),Mfumo wa Taarifa za kiutumishi na Mishahara Serikalini, Mifumo ya Hifadhi za kijamii,Mifumo ya Taasisi za kifedha,Mifumo ya udahili ya Wanafunzi(Loan Board),n.k.
Mkurugezi Mkuu wa NIDA, Dickson Maimu alizitaja changamoto mbalimbali za kiutendaji zikiwemo wananchi kukosa viambatanisho muhimu vya kuwatambulisha,uhakiki wa taarifa za uraia,Uhakiki wa taarifa za makazi,Upungufu wa vifaa na Rasilimali watu.
Aliyataja mahitaji halisi ya zoezi hilo kuwa ni  vifaa vya kuchukulia alama za vidole, picha saini  takribani 12,000, rasilimali watu wa muda 114,000 na wakudumu 3000 ili kukukamilisha  mpango huo kwa muda utaotakiwa.
Chanzo: mrokim.blogspot.com

APANDWA NA KICHAA NA KUANZA KUPIGA PUNY*TO HADHANI BAADA YA KUTEMWA NA MPENZI WAKE



Huyu  ni  mdada  ambaye  presha  ilimpanda  ghafla  na kujikuta  akivua nguo  zote  na kuanza  kupiga puny*to  hadharani  baada  ya kutemwa na mpenzi  wake......

Mashuhuda  wa  tukio  hili wanada  kwamba, binti huyu  alikuwa  ndani ya  gari  la  kibosile  ambaye  inadaiwa kuwa  ni mpenzi  wake......
 Baada  ya  muda  wa  dakika kadhaa, mashuhuda  hao  walishuhudia malumbano  ya  wapendanao ndani ya  gari hilo na  ndipo  binti  huyu  alipoamriwa  ashuke  na jamaa kutokomea  kwa  speed kali.......

Binti  kuona hivyo, alianza kulia  huku  akirukaruka , mikono  ikiwa  kichwani  huku  akitamka  "baby  kwa  nini unaniacha?"....

Hasira zilipompnda zaidi, mrembo huyu  aliamua kuvua  nguo mbele  ya  umati uliomzunguka na kuanza  kujipiga  puny*eto.....
 Cha  kushangaza  ni kwamba, badala  ya  watu kumsaidia, ndo kwanza     walimwacha  na  wakaendelea  kushuhudia  SINEMA YA  BURE.

PICHA 5 ZA MWANAUME ALIYETUMIA "MCHINA" KUYAKUZA MAKALIO YAKE



tagazo

VITUKO VYA WASANII.....MKONO MMOJA KIUNONI, MWINGINE ...????!



Wasanii  wetu   wanavituko.....Huyu  ni mshiriki  wa BBA akiwa  na  binti yake  huku  wakifanya  "michezo ya  kikubwa  hadharani"  bila kujali  kuwa wao  ni mwongozo wa  jamii.....

Kitendo  cha binti  kuchezewa ny*ti zake  hadharani kina  majibu  mengi....Sihukumu kwamba  ni  kahaba, lakini,ukweli  ni kwamba huyu  ni "jamvi la wageni"

Monday, February 4, 2013

Cheki Taswira Za Kada wa Chadema Mkoani Dodoma, Arnold Swai Akikimbizwa na Wafuasi wa CCM Mkoani Dodoma

Kada wa Chadema Mkoani Dodoma, Arnold Swai akikimbizwa na wafuasi wa CCM jana, baada ya kutokea vurugu katika eneo la Mwanga baa, Dodom
----
SHEREHE za miaka 36 za kuzaliwa kwa CCM jana ziliingia dosari, baada ya kuibuka vurugu kubwa kati ya wafuasi wa chama hicho na Chadema mkoani Dodoma wakati wakigombea eneo na mti wa kutundika bendera za vyama vyao.
Vurugu hizo zilizotulizwa na Polisi wa Kutuliza Ghasia (FFU), zilitokea jana mchana katika uwanja huo uliopo karibu na Baa ya Mwanga, baada ya CCM kung’oa bendera ya Chadema iliyokuwepo uwanjani hapo, ili waweke bendera zao kwa ajili ya mkutano ambao ulikuwa sehemu ya maadhimisho hayo.
Vurugu zilizuka baada ya wafuasi wa Chadema kuwataka wenzao wa CCM waendelee na mkutano katika eneo hilo kwa sharti la kurejeshwa kwa bendera iliyong’olewa. Wafuasi wa vyama hivyo wakiwamo wabunge wa CCM walionekana wakivutana kunyang’anyana mti wa bendera.
“Baada ya CCM kugoma, Chadema walijaribu kurudisha bendera hiyo kwa nguvu, jambo ambalo lilifanya wafuasi wa CCM waanze kuokota mawe na kuwarushia wapinzani wao hao, huku Chadema nao walianza kujibu mapigo,” alisema mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo.
Baadhi ya wabunge wa CCM walioshiriki katika vurugu hizo na majimbo yao kwenye mabano ni Ismail Aden Rage (Tabora Mjini), Nyambari Nyangwine (Tarime), Seleman Jafo (Kisarawe), Said Mtanda (Mchinga) na Mary Chatanda (Viti Maalumu).