Sunday, April 7, 2013

Uwoya: Nitakusanya vipaji vipya vya kuigiza kote Tanzania

irene-uwoya 


Desemba 12, mwaka jana Bongo Muvi walifanya uchaguzi mkuu na kupata viongozi, viongozi hao ni Irene Uwoya ambaye aliibuka kidedea kwa kuwa Makamu Mwenyekiti huku Mwenyekiti akiwa ni Vicent Kigosi ‘Ray’.


Starehe ilimtafuta Makamu Mwenyekiti ambaye ni Irene Uwoya na kufanya naye mazungumzo lengo kubwa likiwa ni kutaka kujua ni kwa jinsi gani anaweza kuinua na kukuza..read more
Source: Mwananchi


Love to hear what you think!