Sunday, April 7, 2013

Party ya kumkaribisha Kajala uraiani jana


Jana usiku jijini Dar es Salaam kulianguka Party ya kumkaribisha uraiani Bi Kajala Masanja katika ukumbi wa Ambassador Lounge ambapo wadau mbali mbali walihudhuria.
Nimedokoa picha za DjFetty hapa tupate ladha na sie, ahsante Dj Fatuma kwa hisani yako!
Pichani juu ni Wema, akimkaribisha Bi Dada

Cake kutoka kwa Wema

keki zililika, ...ulialikwa mwenzangu?

Hugs na Kisses..

Bilalia, ..in the House

Naam, wadau a.k.a mihimili ya Bongomovie

Kulia ni Lamar, na mwanae, walishow Love pia

PettyMan wakuache, ..huh!

FullShangwe bila John Bukuku

Bilal kwa shughuli, ..kha?!

Mully Bling, on the 1&2

Vijana wa mujini

Mfanyabiashara wa Mbeya naye alishowLove
Love to hear what you think!