Sunday, April 7, 2013

Mgogoro ziwa Nyasa: “Malawi iache kutapatapa!” – Serikali


membe[1] 

SERIKALI imeitaka Malawi kuacha kutapatapa kuhusu mgogoro wa mpaka baina ya nchi hizi mbili katika Ziwa Nyasa na imesisitiza kuwa na ushahidi wa kutosha wa uhalali wa mipaka hiyo hata kama Malawi itawasilisha suala hilo katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kama ilivyotishia.

Kauli ya Malawi ya kuwasilisha suala hilo ICJ, ilitolewa hivi karibuni na Rais wa nchi hiyo, Joyce Banda.
Akizungumzia msimamo huo wa Serikali, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe aliviambia vyombo vya habari Dar es Salaam jana kuwa Malawi inapaswa …read more
Source: HabariLeoLove to hear what you think!