Friday, April 19, 2013

ARDHI YAMEZA MAGARI MAREKANI ,

.


.
                   Hili tukio limetokea jana Alhamisi huko Chicago katikati ya makazi ya watu ambapo ni dereva mmoja tu ndio alijeruhiwa, chanzo ni kupasuka kwa bomba la maji hivyo ardhi ikajaa sana maji.
.Love to hear what you think!