Monday, January 14, 2013

ANGALIA PICHA ZA KIBAKA AKIPATA KIPIGO




Jamaa huyu alimnyanyua juu kibaka huyo kishia kumtupa chini



Wanachi hao wakimgombea kibaka huyo kama mpira wa kona



mkong'oto ukishika kasi



Kibaka huyo akiendela kupokea kichapo kutoka kwa wnanachi hao wenye hasira



Jamaa mwenye kofia akimpiga kibaka huyo na kitu chenye ncha kali








Mwananchi huyu mwenye kofia alimu kuingili akati na kumuokoa kibaka huyo asiendele kupokea mkong'oto kutoka kwa wnanachi hao



Msamalia mwema huyo aliondoka na kibaka huyo baada ya kufanikiwa kumpora kwenye kundi kubwa la wananchi ambao walikuwa na dhamira ya kutoa roho ya kibaka huyo.

KIJANA mmoja anayesadikiwa kuwa ni kibaka mchana huu amenusulika kifo baada ya kupokea kicha kikali kutoka kwa wnanachi wenye hasira wakimshutumu kuiba watoto wadogo na kwenda nao mto Morogoro eneo la daraja la Shani na kuwafanyia vitendo vya kihuni.Edelea kuifuatialia audifacejackson blogspot Akizungumza na Mtandao huu mmoja wa wananchi hao aliyejitambulisha kwa jina la Juma Athuman alidai kwamba kijana huyo anakawaida ya kuwateka watoto wadogo hasa wa shule na kuwapeleka chini ya daraja hilo na kuwafanyia vitendo vya kihuni.

" kwa kipindi kirefu tulikuwa tukimsaka kibaka huyu ambaye anatabia ya kuwateka watoto wa dogo na kuwapeleka mto wa Morogoro chini ya daraja la Shani muda huu tumemfuma akiwa chini ya daraja hilo ma mtoto mdogo ndipo tulipomfulumusha na kumkata eneo hili la kituo cha mafuta jirani na



Love to hear what you think!