MAOMBI yanatakiwa kwa mama wa marehemu Steven Charles Kanumba, Flora
Mtegoa kufuatia hali inayomkuta hivi sasa kutokana na kifo cha mwanaye
Katika tukio bichi kabisa, mapema wiki hii, mama Kanumba alipata mshtuko
uliomsababishia kupandwa na presha baada ya kuingia chumbani kwa
marehemu na kukumbana na taswira ya picha ya marehemu.