Saturday, August 25, 2012

ANGALIA PICHA ZA UZINDUZI WA FIESTA MOSHI





Prezoo akiwarusha mashabiki kibao (hawapo pichani) waliojitokeza  kwenye uzinduzi wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012 mjini Moshi


Pichani juu na chini ni mwanamuziki kutoka nchini Kenya na mmoja wa shiriki wa shindano la Big Brother Stargame,CMB Prezoo akitumbuiza jukwaani .


Mmoja wa wasanii wa hip hop Joh Makini akikamua vilivyo .


Msanii mahiri wa bongofleva,Lina akiwa na densaz wake wakilishambulia jukwaa vilivyo.


Lina akiimba wimbo wake Yalaiti


Mkali mwingine wa hip hop Mwana FA akishusha mitindo huru. 


Pichani juu na chini Mwana FA akilishambulia jukwaa vilivyo kwa mitindo yake huru iliyokuna vilivyo mashabiki wake,waliofika kwa wingi kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012.



Wasanii wa nyota wa Filamu hapa nchini nao walijumuika kwa pamoja kwenye uzinduzi wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012,pichani jukwaani ni Wema Sepetu,Jacob Steven a.k.a JB,pamoja na Aunt Ezekiel wakilisakata sebene.


Ray nae akilisakata sebene vilivyo.




Love to hear what you think!