Tuesday, May 29, 2012
Monday, May 7, 2012
lulu kazidiwa mahakamani...
![]() | ||||
| Lulu (katikati) akiingia mahakamani na askari magereza wa kike. |
LICHO YA HIVYO MAHAKAMA ILITUPILIA MBALI OMBI LA LULU
Saturday, May 5, 2012
IFM ELECTION
Uongozi ni uwezo wa kujenga hoja na kuzisimamia....uwajibikaji ndiyo lengo kubwa CHAGUA WATU SAHIHI hawa hapa
Wanaharakati harakatini.....VOTE for JEREMIAH & STEPHANO
Wanaharakati harakatini.....VOTE for JEREMIAH & STEPHANO
IFM ELECTION
IFM’s ELECTION CAMPAIGNS 2012
FM students are now on their campaigns seeking new leaders of the
student’s government for the year 2012/2013, This year many girls have
joined the race by competing in different posts including the sensitive
posts like that of the President, Prime Minister and Minister of
education. Girls have also emerged to contest these positions with many
supporters and this gives the signs that this year the institute will be
led with by girls after the election. The hustle and bustle of
campaigns at the campus is still growing up and some candidates were
seen passing in different classrooms with their supporters conducting
campaigns while giving words of wisdom and much influence to other
students.
Aidha harakati hizo za kampeni za uchaguzi zikiendelea Mgombea uraisi JEREMIAH MAYENGA mwaka wa pili banking
ndie anayeonyesha kuwa na wafuasi wengi zaidi kuliko wengine na hiyo
nikutokana tu na kuwa na sera nzuri zinazowavutia wana IFM. Jeremiah
amekuwa akiambatana ma makamu wake wa urais ambaye pia amekua na
supporters wengi wanao onyesha dalili ya kumpa ushindi.
Picha za wagombea mbalimbali katika harakati zakutafuta kura,,,, Motto:
"IT IS POSSIBLE TO MAKE OUR LIVES BTTER AT IFM"
hii na kauli mbiu ya Emmanuel Hezron mgombea urais, na makamu wake ni dada Isdora Mboya
Kampeni zinaendelaa chuoni hapo na wagombea wanapita kila darasa kutoaa sera zao, hali nikama hiii,,,
mgombea makamu wa rais Isdora Mboya
LULU ANA MIMBA YA MIEZI MITATU
Na Imelda Mtema
Utata kama Elizabeth Michael ‘Lulu’, (pichani) ana mimba au la, umetatuliwa baada ya mwanamitindo maarufu Bongo anayefahamika kwa jina moja la Martin kutoboa siri kuwa ni kweli staa huyo ana mimba ya miezi mitatu, Risasi Jumamosi linafunguka.Akizungumza na mwandishi wetu, Martin ambaye ni rafiki wa karibu wa Lulu anayesota rumande Segerea, Dar akiwa mshukiwa wa kwanza wa kifo cha Steven Kanumba, alisema kwa hesabu zake tangu msichana huyo aliponasa ni takribani miezi 3 sasa.
Lulu akiwa na mwanamitindo Martin Kadinda
WALIJARIBU KUICHOROPOA MARA KADHAA
Jamaa huyo alifunguka kuwa baada ya Lulu kushtuka kuwa ni mjamzito alimweleza marehemu Kanumba ambapo kwa pamoja walijaribu kuichoropoa mimba hiyo lakini ikasema “sitaki” (ikashindikana).
Aliendelea kudai kuwa, baada ya mpango huo kufeli waliamua kuiacha hadi Lulu alipokumbana na dhahama ya kukaa nyuma ya nondo hadi leo.
Yeye (Lulu) na Kanumba walijaribu mara kadhaa kuitoa lakini ikashindikana.”alisema mwanamitindo huyo.
NDIYO CHANZO CHA ‘SHESHE’ LAO
Jamaa aliweka wazi kuwa ‘sheshe’ kubwa kati ya Lulu na marehemu Kanumba lilihusiana na mimba hiyo.
“Kanumba alikuwa akitaka Lulu akatoe mzigo huo, lakini Kalulu Kadogo (Lulu) alikataa katakata,” alisema na kuongeza:
“Aisee ilikuwa ni ishu ya siri sana.”
TUJIKUMBUSHE
Madai ya Lulu kuwa mjamzito yaliripotiwa kwa mara ya kwanza wiki iliyopita na gazeti ndugu la hili la Amani ambapo ilielezwa kuwa mbali na kitumbo kumtoka pia, alikuwa akichagua aina ya vyakula.Chanzo:http://www.globalpublishers.info
Subscribe to:
Posts (Atom)










