Viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
Na Ojuku Abraham
WAKATI Watanzania wakiwa makini kusikiliza jina la mgombea wa nafasi ya urais kutoka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ambaye atapambana na Dk. John Magufuli wa CCM, habari zinasema kizingiti kikubwa cha kumpata mtu huyo ni mvutano mkubwa uliopo baina ya vyama viwili vya CUF na Chadema, Uwazi Mizengwe linakutaarifu.....Soma zaidi hapa====>http://bit.ly/1f9Z1sK