''Salamu za pole na rambi rambi ziwafikie wafiwa wote but zaidi kwa msanii mwenzangu Barnaba Elias kwa kupotelewa na mama yake mzazi siku ya Jumamosi .... Pole sana ndugu sote ni wasafiri na duniani tupo kwenye safari mbele yake nyuma yetu mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya mama yetu Mariamu Arubeth mahala pema peponi.AMINA''Nipo mbali kwa sasa,nipo comoro kweye tour lakini familia yangu itajumuhika nawena familia yenu kwa hali na mali kwenye kipindi hiki kigumu unachopitia kumpoteza mpendwa mama yako!!
Maneno hayo ni ujumbe mfupi wa msanii Diamond ametuma kutoa ple kwa familia ya Barnaba alieondokewa na mama yake mzazi siku ya Jumamosi subuhi...... Siku ya leo jumapili ndio ilikuwa siku husika kabisa katika kutoa heshima za mwisho kwa Bi Mariamu Arubeth aliezaliwa 4/12/1967 na kufariki tarehe 22/6/2013.... Kutokana na kutokuwa nchini Tanzania Ningependa kujumuika na wafiwa na kuwafariji lakini Mama yangu mzazi Bi Sandrah Sammy na Familia nzima kujumuika na wafiwa katika kuwatia moyo na kuwafariji kwenye kipindi hiki kigumu wanachopitia....!! Zifuatazo ni picha za Mazishi Ya Mama mzazi wa Barnaba kuanzia nyumbani hadi makaburini.... |