Saturday, June 29, 2013

Diva wa Clouds Fm amporomoshea matusi mwandishi wa gazeti la Sani!




Katika kile kinachoashiria kukerwa na kuandikwa vibaya na magazeti ya udaku, mtangazaji wa Clouds Fm, Loveness aka Diva leo amemnyeshea mvua ya matusi mwandishi wa gazeti la udaku la Sani.
Diva amegeuka mbogo kwenye akaunti yake ya Twitter, baada ya kile kinachoonekana kama gazeti la Sani kuongea masuala mazito kuhusiana naye..
“Wewe mwandishi wa Gazeti la Sani acha upumbavu ,kwanza hamna alienidhalilisha 4 anything,don't give a fuck nani anaesema nini kuhusu mimi.” ameandika.
Kuhusu shutuma za kuichinjia baharini page yake ya Facebook, Diva aka Mimi amesema “Pili sijawahi funga ukurasa wangu wa Facebook ,that is my page na sitapoteza muda kuifunga.”
Loveness ambaye hivi karibuni amewakera wanaume wa Tanzania kwa kudai kuwa ni wachafu, ameongeza “Last but not least msiwe mnaandika ujinga, huyo boyfriend wangu mnaemjua nyinyi ni nani? My Love life is very private. Fuck off KLMY.stupid.”
Na kisha Diva akamalizia, “Low mind .... Get a Grip.”Chanzo:http://leotainment.blogspot.com/



Love to hear what you think!