TAARIFA NA PICHA KUHUSU KIFO CHA MSANII WA TMK WANAUME HALISI.
.
.
Taarifa ambazo zimezipatikana muda mfupi uliopita ni kwamba msanii Baraka Sekela maarufu
kama BK wa TMK Wanaume halisi amefariki usiku wa kuamkia leo, alikua
amelazwa katika hospitali ya Muhimbili kwa tatizo la moyo.