Ni
basi aina ya Yutong lililonunuliwa na wadhamini wa Taifa Stars ambapo
thamani yake ni zaidi ya Shilingi milioni 200, lina uwezo wa kubeba
abiria 50, ndani kuna TV mbili za kisasa, muziki wa nguvu wenye spika
nane, milango na mabuti ya kisasa, friji mbili na AC kama kawaida.
February 21 ndio litakabidhiwa kwa Taifa Stars.