Wachezaji
mbalimbali akiwemo Yaya Toure wakilindwa na kuondolewa uwanjani baada
ya mashabiki wa Senegal kuvamia uwanja kwa kukasirishwa na maamuzi ya
refa kuwapa penati Ivory Coast ambapo Didier Drogba alifunga goli la
pili.
Mpaka mpira unavunjwa Ivory Coast walikua wameifunga mbili bila Senegal.
.
.
.
.
.
Mashabiki wakisaidiwa kushuka kuingia uwanjani baada ya fujo kuzidi kwenye ngazi za juu za uwanja.
Mashabiki wakiwa wamekusanywa katikati ya uwanja kukwepa vurugu.
.
.