Monday, October 22, 2012

MAMBO WANAYOTENDEWA WASICHANA KABLA YA KUPEWA CHETI CHA " UBIKRA"



 Ni kawaida kwa King Mswati  kuichagulia  "Embe dodo"  wakati ukifika.......

Mpekuzi inakuletea simulizi fupi sana kukujuza jinsi ambavyo jamaa huyu hujichagulia hao vimwana bikira........

 Kwanza kabisa, wasichana waliopendekezwa hukabidhiwa katika kundi la akina mama watu wazima  ambao  huwavua nguo na kumkagua mmoja  baada ya mwingine........Angalia wasichana wakiwa katika foleni hapo juu
Wakati wa ukaguzi,kila mmoja huingizwa vidole  ili  kuhakiki kama kweli ni bikra....hahahahhh.!!!!! hii  kali
Ikithibitika  kuwa  wewe  ni  bikira, basi kuna vyeti maalumu ambavyo hupewa


Love to hear what you think!