Dereva
wa Bodaboda na abiria wake, ambao hawakuweza kufahamika majina yao kwa
haraka wakiwa wamelazwa pembeni mwa barabara ya Bagamoyo eneo la Makongo
Dar es salaam baada ya kugongwa na gari aina ya Starlet wakati wakiwa
katika Pikipiki na kufariki dunia papo hapo. (Picha imepigwa na
sufianimafoto.blogspot.com)