Meneja Mauzo wa Kampuni ya Usambazaji ya My Collection, Mussa Msuba akiwa katika duka la mauzo ya kazi za Jahazi.
Msanii wa mziki wa taarabu, Mzee Yussuf
kushoto akiangalia moja ya kazi zake ziliyokuwa feki zilizokamatwa na
wasanii wenyewe kwa kushirikiana na kampuni ya steps entantainment ya
jijini dar es salaam