Boxing day mwaka 2014 imeingia kwenye headlines muhimu kwa watumiaji
wa mtandao wa Instagram kujumuika na kukutana sehemu moja ana kwa ana
kwa lengo la kufahamiana zaidi.
Event hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Golden Jubilee Dar es Salaam
ilihudhuriwa na watu tofauti wakiwemo mastaa hizi ni baadhi ya picha
zikionyesha matukio mbalimbali kama Redcarpet,Perfomance ya Wakazi na
jinsi watu walivyoifurahia siku hiyo.
.
.
Aliyekuwa mshiriki wa BBA Hotshots kutokea Afrika Kusini, Samantha ni miongoni mwa waliohudhuria event hiyo.
Hawa ni baadhi ya watu waliojitokeza kuwania zawadi mbalimbali zilizoandaliwa na timu ya Instagram party.
Pichani
Mr Problem Solve akimkabidhi zawadi ya gari aina ya Toyotta Cresta
kijana ambaye aliibuika kuwa mshindi baada ya bahati nasibu .
Picha zote kwa hisani ya Millard Ayo