Shambulio hilo limetokea ikiwa ni siku moja baada ya kundi la Al Shabaab kukiri kufanya mashambulizi yaliyouwa watu 50 katika eneo hilo usiku wa kuamkia jana Jumatatu Juni 16, 2014.
Tuesday, June 17, 2014
SHAMBULIO LINGINE LAUA 10 MPEKETONI